Vyumba vitatu.viwili kati ya hivyo ni masta.jiko, stoo, choo cha public.water heater 3 bafuni. full air conditioni tatu.
zipo mbili kwenye kompaundi.parking ya gari ya kutosha.maji kibaao.luku inajitegemea.
kigamboni.near mbweni ocenic
kodi laki 550 fixed.miez sita kwa maelezo zaidi tupigie simu