• Mahali: Geti jeusi kwa Mwingira
• Kodi: TZS 300,000/mwezi
• Muda wa malipo: Miezi 6
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
• Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
.
ipo barabara kuu karibu na Ferry • chumba kimoja master, vitatu vya kawaida • sitting na dining • jiko • choo na bafu vya jumuiya • luku • maji • gypsum darini • malumalu sakafuni • kabati jikoni • uzio • maegesho ya gari • mazingira tulivu
.
• Visit our listing to find more and different properties.
• If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts