*nyumba inauzwa kibamba shule*
sifa yanyumba inaeneo lenye ukubwa wa nusu heka *(sqm 2000)*
-nyumba ina hati miliki kutoka wizara ya aridhi
-idadi yavyumba ni 4 vyakulala, vi 2 ni master, ina sebule kubwa, ina dining ya kisasa, ina jiko zuri, ina public toilet pamoja na stoo
-pia kuna nyumba ndogo pembeni yenye vyumba 2 na jiko
nyumba ipo kalibu na lami
*bei milioni 220 maongezi yapo*
eneo laka ni sqmt 2000 document clean tittle deed