#apartment_inapangishwa kibamba kwa mangi
.
.
apartment za kisasa zipo 2 tuu kwenye fensi
.
.
zina vyumba 2 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master kubwa,sebule kubwa sana,jiko kubwa,store na choo cha familia
.
.
kodi ni 220,000/=x6
.
.
kila apartment inajitegemea kwa kila kitu
.
.
zipo kibamba kwa mangi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni kilometa 1.2
.
.
whatsapp
calls /