T500 Smart Watch

Posted Apr 28
Kibaha, Pwani Region, Tanzania
228 views
Other
Brand
Smart Watches
Type
Brand New
Condition
White
Band Colour
Rubber
Band Material
T500 smart watch
functions . Inakubali simu zote android & ( ios ) yani iphone. Inakubali kupiga na kupokea simu baada ya kuunganisha na simu yako inasupport notification zote za simu kama whatsapp , facebook , instagram & sms. Ina pima heart rate , bloodpressure , calories. unaweza kubadilisha mikanda. Ni saa boraa kwa mazoezi ( physical activities ) ina unganishwa kwa bluetooth na app yake ina hesabu masaa ulio lala. Ina hesabu hatua ulizotembea au kukimbia wakati wa mazoezi. Ina tumia app ya hiwatch / fitpro 7 unaweza kuplay music ulio kwenye simu kwa kutumia saa yako inakaa na chaji siku nzima au zaid kulingana na matumizi yako .
 • T500 Smart Watch
 • T500 Smart Watch
 • T500 Smart Watch
 • TSh 50,000
  Last seen 1 week ago
  0768777244
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts