Tunaagiza magari kutoka nje ya nchi na kutoa bandarini kwa gharama nafuu , tuna toa huduma ya bima za magari ,tuna kusaidia kuuza gari lako kwa haraka au kununua pia tuna uza maeneo/mashamba/ viwanja vilivyo pimwa, usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, tuna jenga nyumba za aina zote kuanzia msingi mpaka finishing mfano rangi, mapambo allimium na tunauza na kuchora ramani za nyumba kwa gharama nafuu