Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali: Kawe
Bei: 200,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Chumba Kimoja Master Kubwa
Sebule Kubwa
Fensi
Full Paving Blocks
Tiles, Gypsum, Slid Windows
Luku Inajitegemea
Inatizama Lami
Maji Ya Bomba 24/7
Service Charge: 20,000(Payable Once)
Bila Kusahau Malipo Ya Dalali Ambayo Ni Mwezi Mmoja Wa Kodi.