PHILIPS ELECTRIC IRON
Pasi bora kwa matumizi ya nyumbani. Inakusaidia kupiga pasi nguo zako kwa urahisi na kwa haraka.
Muundo mzuri na rahisi kutumia
Soleplate yenye umbo maalumu
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani
Inapatikana B FAMILY ELECTRONIC SHOP – KASULU, KIGOMA.
Wasiliana nasi kwa oda yako!