Hii ni mbolea ya maji iliyotengenezwa kuhakikisha mazao yako yanaboreshwa kwa ubora na kwa wingi. Inafaa kwa mazao yote mbogamboga, nafaka, mizizi , miti, nyasi n.k . HUONGEZA mavuno mara 3, uzito , ukijani kwenye mmea ni suluhisho la ukame husaidia kushikiza madawa pindi unapopulizia madawa