Outdoor projector: inaweza kutumika hata wakati wa mchana kwenye chumba chenye mwanga mkali, madisha makubwa na hata kama hakuna mapaazia ya kuzuia miale ya mwanga wa jua.
suitable for: kufundishia, kuonesha mpira kwenye mabanda ya mpira, kuonesha movies, kwani inakupa screen yenye upana zaidi ya inchi 130 yaani zaidi ya futi 10, picha ikiwa na muonekano angavu wa 1080p (full hd)
connection: wifi 6.0, bluetooth 5.0, hdmi na usb
IMAGE BRIGHTNESS(LUMINOSITY): 900 ANSI LUMENS
standard resolution: 1920:1080p full hd (supports 4k).
PROJECTIONDISTANCE: 1.5m to 9m
RAM: 3gb; ROM : 64 gb
Lamp Life: +30,000 Hours (miaka nane (8) kama unatumia masaa 10 kila siku, au miaka 13 kama unatumia masaa 6 kila siku)
other features: internet ready, internet built-in, built-in speakers, pocketable.