Pikipiki fekon inauzwa.
cc 150.
inanguvu sana.
imetumiwa kwa uangalifu mkubwa na kutunzwa vizuri.
mmiliki mwenyewe sio dalali.
safari ni bugando chuo mpaka home.
tairi mbele tubeless, nyuma kawaida.
ina mwonekano mzuri na imepambwa fresh kivijana zaidi.
ukinunua unapewa helmet ya bei kali ya racing nyeusi.
mwanza sehemu yoyote unaletewa.
piga simu leo hii
Toyota avensis t22 hatchback
mwaka 2000
transmission manual
milage 86000 km
fuel petrol
ghalama za usajili ni juu yetu
gari inahali nzuri kwa wakazi wa dar es salaam wasiliana nasi ili uweze kuja ikagua gari
Boxer bado ipo kwenye hali nzuri bei cheap kabisa kwa millioni moja na laki mbili na nusu tuuh
ipo kwenye hali nzuri kabisa haijaguswa na fundi
njoo uikague uandikishie na documents mkoani tunatuma ... karibu...
piga namba