Hello Hello Hello Watanzania.
🇹🇿
Leo tunawaletea mradi safi kabisa mpya na uko moto. Karibuni katika viwanja vya Bamba Beach vilivyo karibu kabisa na bahari, umbali wa takriban mita 300 Tu!
🇹🇿
Maeneo ni mengi na makubwa, unaweza kununua kwaajili ya biashara ama makazi. Upepo mzuri, maji ya bahari na mchanga wa kutosha kwaajili ya matembezi ama mazoezi.
🇹🇿
Umbali toka rami ni 1.8 km
Na umbali toka Kigamboni stendi ni 18km mpaka saiti
🇹🇿
Square meter 1 = 45,000/= kwa viwanja vya mbele na vya nyuma ni 35,000/= kwa wateja wetu wote wa cash na Installments.
🇹🇿
Ofisi zetu zipo Goba Mnadani, karibu kabisa na Pharmacy ya Gwanzuu.
🇹🇿
📞 Contact076*********
#noblerealestatelimited
#kiwanja_kwa_kila_mtanzania
Square meters: 1000