*SUPER GRO*
*Super Gro* ikichanganywa na maji huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu ambapo huwa kuna madini na virutubisho vingi.; Vilainisho vya maji huongeza na kuboresha utendaji kazi wa madawa na mbolea za kilimo na hutumika kama:
🌽Kuyeyusha hali ya mafutamafuta hasa kwenye majani ya mimea
🌽Kulainisha maji na kuondoa mzio (surface tension)
🌽Kutawanyisha maji kwa urahisi.
🌽Ni kama gundi kuwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu badala ya wadudu kuruka pembeni kama hutatumia *Super Gro* na hivyo kupunguza kurudiarudia kupuliza dawa, kutumia dawa kidogo kwa msimu, muda kidogo pesa kidogo na kuongeza mavuno.
🌽Kuondoa nguvu ya kushikana kwa dawa na kuifanya ichanganyikane na maji vizuri itawanyike vizuri kwenye Majani na ikae kwenye maji kwa muda mrefu bila kujitenga.
🌽Kuwezesha maji kupenya mpaka tabaka la tatu la udongo ambalo huwa gumu mizizi hushindwa kufyonza virutubisho na kuishi juu,