Wholesale 12 Slots Full Set Watch Box – Premium Collection
Inauzwa seti kamili ya saa 12 za mkononi zenye muonekano wa premium Looking, miundo ya kisasa na rangi tofauti za kuvutia.
Seti inajumuisha aina mbalimbali za saa, zikiwemo zenye brand ya Casio, brand inayojulikana duniani kwa ubora, uimara na miundo yake ya kipekee.
Saa zote zinakuja pamoja na full box lenye slots 12 kwa ajili va kuhifadhi na kuonesha saa kwa mpangilio mzuri.
Bei inajumuisha saa zote 12 pamoia na box lake kama zinavyoonekana kwenye picha.
Location: Upanga
whatsapp: +