~ mini focus watch
• mishale inafanya kazi vizuri
•saa ni analogy na digital pamoja
•mikanda yake ni leather
•rangi yake ni halisi
•haipauki wala kuchubuka
•ina warranty ya mwaka mmoja
•saa ni imara inadumu kwa muda mrefu
~ tunapatikana kariakoo msimbazi, dar es salaam
~tunafanya delivery dar es salaam na mikoani
~karibuni sana na mungu awabariki
ps: "unaweza kuulizia rangi yoyote unayohitaji tukakuangalizia."