GENUINE BRAND WATCHES Zinaonesha calendar Zina double watches yani digital na analogue water resistant Stainless steel (hazipauki wala kuchubuka) Zina alarm , light (mwanga) na stop watch. Mikanda mizuri na imara Zinakuja na kitabu cha maelezo ya namna ya kutumia.