Wireless Connection: Inatumia Bluetooth / Wireless, hakuna kero ya waya kutingishika au kukatika.
Muundo wa Kisasa (Ergonomic Design): Ina mpangilio mzuri wa vitufe unaoendana na viganja vyako kwa ajili ya kucheza muda mrefu bila kuchoka.
Taa za RGB/LED: Muonekano wa kuvutia wenye taa zinazong'aa pande za ma-joystick.
Utangamano Mkubwa (Compatibility): Inafanya kazi vizuri kwenye Simu (Android & iOS), PC / Laptop, Smart TV na TV Box.
Rangi Mbalimbali: Inapatikana katika rangi za Nyeupe (White), Nyeusi (Black), Pinki (Pink), na Ya Buluu (Blue).
Battery Imara: Inakaa na chaji muda mrefu kwa ajili ya gaming ya masaa mengi.