Plug & Play: Ni rahisi sana kutumia, unachomeka kwenye port ya HDMI kwenye TV yako na kuanza kucheza moja kwa moja.
2.4G Wireless Controllers: Ina padas/joysticks 2 za wireless zisizo na waya, zinazokupa uhuru wa kucheza ukiwa umekaa mbali na TV bila kero ya kamba.
Retro Games Tele: Inakuja ikiwa imesheheni maelfu ya michezo maarufu ya zamani na ya kipekee (PS1, PSP, Game Boy, Arcade, NES n.k.).
Ubora wa Picha (HD / 4K Output): Inaonyesha picha safi na za wazi kwenye TV yako (inasaidia HD & 4K).
Inabebeka Kirahisi (Portable): Ni ndogo na nyepesi, unaweza kusafiri nayo popote na kuunganisha kwenye TV yoyote au projector.
Brand New Sealed: Bidhaa mpya kabisa kwenye box lake.