Direct Drive Technology: Inatoa force feedback ya nguvu na halisi sana inayokufanya uhisi kila kona na barabara unapoendesha.
Pedali 3 za Chuma (3-Pedal Set): Inakuja na Pedali ya Clutch, Brake na Accelerator zenye uimara wa hali ya juu.
Inakubali Devices Mbalimbali (Multi-Platform):
PC (Windows)
PlayStation 4 (PS4)
Xbox One
Xbox Series X / Series S
Premium Quality: Usukani wa mpira/ngozi wenye muundo wa michezo ya magari na paddles za kubadilishia gia.
Brand New: Mpya kabisa kwenye boksi.