Digital Edition: Inatumia games za ku-download moja kwa moja kutoka PlayStation Store, hakuna haja ya CD.
Ultra-High Speed SSD: Inafanya michezo ifunguke kwa kasi ya ajabu bila kukaa kuisubiri (Lightning-fast loading times).
Graphics za 8K / 4K: Inaauni michezo ya ubora wa juu sana wa picha na picha laini (smooth gameplay up to 120fps).
DualSense Wireless Controller: Ina pad mpya yenye Haptic Feedback na Adaptive Triggers zinazokufanya uhisi kila kitu kinachotokea kwenye mchezo.
3D Audio Technology: Sauti za 3D zinazokupa hisia halisi za mchezo.
Brand New Sealed: Bidhaa mpya kabisa kwenye box lake halisi, haijatumika!