Wireless Connection: Inafanya kazi bila waya kupitia Bluetooth kwenye PS4, PC / Laptop, Android, na iOS.
Dual Vibration & Motion Sensor: Ina mfumo thabiti wa msisimko (vibration) unaokufanya uhisi uhalisia wa mchezo.
Touch Pad & Speaker: Ina Touchpad inayofanya kazi kikamilifu na speaker ya ndani kwa ajili ya sauti za game.
Jack ya Earphone (3.5mm Audio Jack): Unaweza kuchomeka earphone au gaming headset moja kwa moja kwenye pad.
Rechargeable Battery: Ina betri ya ndani inayokaa na chaji muda mrefu.
Brand New Sealed: Zipo mpya kabisa kwenye box zake halisi!