Inafaa PS5 Zote (Universal Compatibility): Inafanya kazi kwenye Original PS5 (Fat), PS5 Slim, na PS5 Pro.
Inayoweza Kubadilishwa (Adjustable Design): Unaweza kuirekebisha kwa urahisi ili ieneee vizuri kwenye mtindo wowote wa PS5.
Uingizaji wa Hewa Mzuri (Better Heat Dissipation): Inaiinua PS5 kidogo kutoka kwenye meza au kabati ili kuruhusu mzunguko mzuri wa hewa na kuzuia console isipate joto (overheating).
Imara na Salama: Inatoa msingi imara unaozuia PS5 kuteleza, kuyumba, au kuanguka.
Rahisi Kufunga (Easy to Install): Haitaji vifaa gumu kufunga, ni rahisi na ya haraka.
Compact & Portable: Ni ndogo, haichukui nafasi kubwa, na inafanya eneo lako la gaming lionekane nadhifu.
Brand New: Zipi mpya kabisa kwenye box zake halisi.