tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Electronics
  3. Video Game Consoles
  4. Game Controllers
  5. Storage Video Game Consoles
Dar es Salaam, Ilala, 11 hours ago
1 views

Meta Quest 2

+1
Game Controllers
Type
Other
Brand
Used
Condition
Yes
Exchange Possible
VR Headset
Controller Type
Other, Desktop Computer, Mobile Phone, Sony Playstation, Xbox, Nintendo
Controller Compatibility
Wireless
Controller Connectivity
Meta Quest 2 128GB - VR Headset Inauzwa! Maelezo (Description): Inauzwa Meta Quest 2 (128GB) ikiwa kwenye hali nzuri kabisa na inafanya kazi kwa 100%. Pata uzoefu wa kipekee wa Virtual Reality (VR) - kamili kwa ajili ya kucheza game za kisasa, kuangalia cinema/filamu 3D kwenye skrini kubwa kama ya theater, na burudani kibao. Sifa na Kilichopo: • Uwezo wa Storage: 128GB (Inatosha sana kuweka magame na movies kibao) • Headset: Meta Quest 2 • Vidhibiti (Controllers): Zote mbili (Kushoto na Kulia) zipo kwenye hali nzurı • Wayar/Chaja: Zipo kamili o Wireless: Haina haja ya kuunganisha kwenye kompyuta wakati wa kucheza, lakini pia unaweza kuunganisha kwenye PC kama ukitaka o Hali yake: Hali nzuri sana, haina tatizo lolote
Show contact
Meta Quest 2Meta Quest 2Meta Quest 2Meta Quest 2Meta Quest 2
TSh 400,000
Negotiable
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif