Feni Mbili za Kupooza (Double Cooling Fans): Ina feni 2 imara za kupooza simu kwa haraka ili kuzuia simu isipate moto (overheating) na isigande (lag) unapocheza.
Triggers za Chuma (Metal Triggers): Ina triggers za juu za chuma zinazokupa uwezo wa kulenga (aim) na kupiga risasi (fire) kwa haraka sana bila kukawia.
Power Bank / Inachaji Simu: Ina betri ya ndani inayoweza kuchaji simu yako ukiwa katikati ya mchezo ili usikatishiwe burudani.
Ergonomic Design: Muundo mzuri unaoshikika kwa urahisi mikononi bila kuchoka hata ukicheza kwa masaa mengi.
Utangamano Mkubwa (Universal Fit): Inafaa simu karibu zote za Android na iPhone (za ukubwa wa kuanzia inchi 4.7 hadi 6.5).
Brand New: Zipi mpya kabisa kwenye box zake halisi.