Ukubwa wa Screen: Nchi 75 (75 Inches) – Inatoa muonekano mkubwa na wa kifahari kama uko sinema!
Ubora wa Picha: 4K Ultra HD (3840x2160) yenye 4K HDR – Picha ni safi, yenye nguvu na rangi halisi.
Mfumo wa webOS Hub: Inatumia mfumo mashuhuri wa powered by webOS Hub, unaoendesha TV kwa kasi na urahisi.
App Zinazopendwa Tayari Zipo: Inakuja na Netflix, YouTube, Prime Video tayari.
Uunganishaji wa Kisasa:
Works with Apple AirPlay: Inakuruhusu kurusha picha/video kutoka kwenye iPhone au iPad yako kwa urahisi.
Works with Google Assistant: Udhibiti wa sauti.
Bluetooth & HDMI: Kwa ajili ya kuunganisha Soundbar, Subwoofer au Gaming Console.
Sauti ya Hatari: Dolby Audio & DTS Surround – Sauti nzito na safi ya kusaidia burudani ya nyumbani.