Jipatie TV mpya kabisa ya TCL inchi 55 (Brand New in Box) kwa bei nafuu sana! Ni TV ya kisasa inayokupa burudani ya kiwango cha juu nyumbani kwako."Sifa Kuu:Ukubwa: Inchi 55 (Inafaa sana sebuleni).Uonyesho (Resolution): 4K Ultra HD yenye HDR – Inatoa picha angavu sana na yenye rangi halisi.Mfumo: Smart TV (Google TV / Android) – Inasapoti YouTube, Netflix, Prime Video, na unaweza kushusha (download) app zozote unazotaka.Sauti: Dolby Audio – Sauti safi na ya thamani kama ya sinema.Muunganisho: Wi-Fi ya haraka, Bluetooth, HDMI, na USB.Wahi sasa kabla hazijaisha! Ofa hii ni ya muda mfupi.