Hatuuzi bidhaa used tunauza mpya tu, majibu ya haraka tupigie
.
hivi undhani muvi ikigoma kusoma tatzo ni movie fomat au ni tv? jibu ni tatzo ni hiyo tv yenyewe tatzo sio muvi, tv zetu tumeweka program maalum ili kuzuia hilo tatzo njoo ununue tv kwetu kwakuwa tatzo la muvi kugoma kusoma au kutokutoa sauti huwezi ukaliskia tena na kama ikigoma kusoma muvi yoyote njoo uchukue hela yako
.
hii ni tv ya mewe nchi 65 imara sana na original ina warranty miaka 2 ikisumbua rudisha upewe mpya, ukinunua hii mkataba utanishukuru baadaye, ina bluetooth na ubora wa hali ya juu hd yake kali sana
.
usipigwe tena kwenye manunuzi ya bidhaa za electronics sisi hatuuzi kwa tamaa kabisa, yaani bei zetu ni kitonga hatuna tamaa kama wengine tunazo bidhaa zote brand zote tv zote hisense, samsung n.k
.
tupo kariakoo karibu na kanisa la kkkt tupigie