tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Electronics
  3. TV & DVD Equipment
  4. Smart TVs
  5. Smart Smart TVs
Promoted
Dar es Salaam, Ilala
19 views

Ofa Ofa = Big Brand Boss TV Nchi 55 Smart Double Glass

+1
2
BOSS
Brand
Tv nchi 55 smart 4k double
Model
TVs
Type
55 inches
Screen Size
LED
Display Technology
2160p (4K)
Display Resolution
Smart TV (android AOSP)
TV Operation System
Brand New
Condition
No
Exchange Possible
Delivery
Dar es Salaam
1 day
Free of charge
Store address
Dar es Salaam • Ilala
MTAA WA AGREY NA LIKOMA KARIBU NA KANISA LA KKKT
UKIFIKA KARIAKOO KWENYE KANISA LA KKKT SIMAMA GETINI KISHA NIPIGIE SIMU
Open now
• Mon - Sun, 08:00-22:00
hebufikiria inakera kiasi gani unapokuja na muvi yako nyumbani uangalie kwenye tv halafu umekaa sebuleni unaweka mara paap inaandika *unsupported file* usihofu tena maana tumepatia ufumbuzi hilo tatzo, hivyo ukinunua tv kwetu hilo tatzo utaliskia tu kwa majirani ambao hawajanunua tv kutoka kwetu na sisi tunakuhakikishia kuwa hakuna muvi yoyote itakayo shindwa kusoma au kutoa sauti kwakuwa tumegundua mbinu mpya yakuongezea program kwenye tv ili isigome kusoma au kutoa sauti kwenye muvi yoyote ile hivyo hilo tatizo hutaliskia tena. kwasababu sisi tunauza muvi ndo maana tuligundua namna ya kuzuia tv kuchagua movies pia ikitokea tv ulionunua kwetu imeshindwa kuplay au kutoa sauti kwenye muvi yoyote basi rudisha hiyo tv tukupe hela yako tupo kariakoo karibu na kanisa la kkkt tunazo electronics ainazote na bei nafuu tupigie
TSh 930,000
Negotiable
1 Feedback view all
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied