tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Electronics
  3. TV & Video Equipment
  4. TVs
  5. UHD TVs
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 3 hours ago
9 views

Ofa Ofa = Alitop TV Nchi 55 Smart Uhd

+1
SoLARMAX
Brand
Alitop TV 55 Smart 4k uhd
Model
TVs
Type
55inches
Screen Size
LED
Display Technology
Brand New
Condition
Delivery
Dar es Salaam
1 day
TSh 2,000 - 7,000
Store address
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Mon - Sun, 08:00-22:00
Hatuuzi used tunauza mpya tuu . utajiskiaje kama umefika na muvi yako sebuleni unataka kuangalia tu mara paap inaandika unsupported fomat yaani haisomi au haitoi sauti? . hilo ni tatizo ambalo sisi tunalitatua kwa kuongezea program maalum kwenye smart tv zetu zote ili isisumbue kutoa sauti au kusoma movie yoyote . ukinunua tv kutoka kwetu ikisumbua kusoma muvi yoyote au kuto kutoa sauti kwenye muvi yoyote njoo uchukue hela yako . hatubabaishi kwakuwa tunauza muvi hivyo tunajua changamoto za tv nyingi ndomaana tumepatia ufumbuzi muvi kugoma kusoma . tv zetu zote ni imara sana zinaubora wa hali ya juu sana na warranty ya uhahakika mwaka mzima . usishangae unafuu wa bei zatu kwakuwa hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tupigie tukupe bei zetu ulinganishe . tuko kariakoo karibu na kanisa kkkkt tupigie
Ofa Ofa = Alitop TV Nchi 55 Smart Uhd
TSh 869,000
Fixed price
2 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif