tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Electronics
  3. TV & DVD Equipment
  4. Smart TVs
  5. Samsung Smart TVs
Promoted
Dar es Salaam, Ilala
20 views

Hisense TV Nchi 55 Smart Uhd

+1
1
Hisense
Brand
55A62HS
Model
TVs
Type
55 inches
Screen Size
LED
Display Technology
2160p (4K)
Display Resolution
Brand New
Condition
No
Exchange Possible
Delivery
Dar es Salaam
1 day
Free of charge
Store address
Dar es Salaam • Ilala
MTAA WA AGREY NA LIKOMA KARIBU NA KANISA LA KKKT
UKIFIKA KARIAKOO KWENYE KANISA LA KKKT SIMAMA GETINI KISHA NIPIGIE SIMU
Closed now
• Mon - Sun, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . hii ni hisense tv nchi 55 smart 4k uhd original sio zile feki, hii ina hd kali sana na ni imara sana ukinunua hii ni mkataba na nakupa warranty mwaka . delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, pressures cookers, majiko ya umeme na gesi, na nyinginezo nyingi. tunazo brand zote kama hisense, samsung, lg, tcl, aborder, alitop . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
TSh 1,059,000
Negotiable
1 Feedback view all
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied