ukubwa: inchi 50 (126cm)
teknolojia ya picha: qled (hi-qled colour) - rangi angavu na halisi sana
mfumo wa sauti: dts virtual:xtm sound kwa sauti nzito na ya wazi
smart functions: netflix, youtube, prime video, disney+ tayari vipo
connectivity: bluetooth, share to tv, apple airplay & apple home
gaming & sports mode: inafaa sana kwa kuangalia mpira na kucheza game bila kukwama
noise reduction: kwa picha safi isiyo na madoa au ukungu
udhamini (warranty): warranty ya uhakika (official top hisense warranty)