Processor - Rockchip RK3518, inafanya TV iende haraka bila kukwama 2. Android 14.0 - unaingia Google Play Store na kupakua apps zote: YouTube, Netflix, Showmax, DSTV Stream, nk 3. 4K Video - inatoa picha safi sana za 4K na HD10+ 4. WIFİ 2.4G & 5G - inakamata internet haraka zaidi kuliko TV sticks za zamani 5. Bluetooth 5.0 - unawezaunganisha earphones za wireless, keyboard, au gamepad 6. Remote smart- ina buttons za moja kwa moja za YouTube na Netflix, plus microphone ya kutafuta kwa sauti