Iveco Stralis Complete READY FOR TRANSIT
Cursor 10 engine
430 HP
12 GEAR AUTO
6X2
Very good condition.
Imefungwa engine mpya ya mitumba. Ya zamani nakupa kama spare. Kila kitu kina fanya kazi inavyotakiwa vizuri na gari haina changamoto kuzuia kufanya kazi na inatembea.
Tella naye imenyoka haina changamoto.
Bpw axle.
600,000kms only