Comfort Shave, Sharp Look: Inakupa unyoaji laini na wa kuvutia bila kuacha vipele au kuwasha kwenye ngozi.
Muundo wa Kisasa (Modern Design): Imetengenezwa kwa umaridadi mkubwa na Oraimo, rahisi kushika na kutumia.
Inafaa kwa Kila Siku: Ni nzuri kwa ajili ya usafi wa uso, ndevu, au vipara kwa ufanisi wa hali ya juu.
Oraimo Quality: Bidhaa ya kuaminika kutoka Oraimo yenye uimara na kudumu na chaji kwa muda mrefu.