Hair Dryer Yenye Nguvu (Professional Hair Dryer): Inakausha nywele haraka bila kuziharibu.
Mini Hair Straightener: Pasi ya kunyooshea nywele kwa urahisi.
Hair Curler (Pasi ya Mawimbi): Kwa ajili ya kutengeneza curly/mawimbi mazuri kwenye nywele.
Vichwa vya Hair Dryer (Nozzles & Diffuser): Kwa ajili ya kuelekeza upepo na kutengeneza mawimbi ya nywele.
Kitana cha Blowout & Chaney: Vitana mbalimbali vya kuchana na kuweka mtindo unaoutaka.
Pini za Kuzuia Nywele (Hair Clips): Kwa ajili ya kushikilia nywele wakati wa kutengeneza.
Manicure / Grooming Kit: Seti ya kusafishia na kukatia kucha.