Nguvu Kubwa (5000W Max Power): Inatoa moto na upepo wa kutosha unaokausha nywele haraka sana na kuweka mawimbi vizuri.
Seti ya 4-in-1: Inakuja na vichwa na chanuo za ziada za kusaidia kunyoosha na kupanga nywele kulingana na mtindo utaochagua.
Kiwango cha Saloon (Professional Grade): Imara na inahimili kazi ngumu bila kupata moto kupita kiasi.
Mpangilio wa Moto na Upepo: Ina switch za kubadilisha kiwango cha joto na kasi ya upepo kulingana na mahitaji yako.
Muundo wa Kisasa (Advanced Technology): Ni rahisi kuishika na kuitumia bila kuchoka mkononi.