tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Vitamins & Supplements
  4. Powder Supplements
  5. Gainer Vitamins & Supplements
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 6 hours ago
23 views

Wins Town Weight Gainer Powder - 450g

+1
1
Wins Town
Brand
Weight-Gain Products
Type
Powder
Formulation
All
Gender
Adult
Age Group
After Workout
When to Take
Jar
Package
Protein Powder
Weight Gain Products Subtype
Store address
Dar es Salaam • Ilala
Dar es Salaam, Tanzania
09:00-16:00
Wins Town Weight Gainer Powder – 450g (High Protein Supplement) Wins Town Weight Gainer ni kirutubisho cha lishe chenye protini nyingi, kilichotengenezwa kusaidia kuongeza uzito wa mwili, misuli (muscle mass) na nishati, hasa kwa watu wanaofanya mazoezi ya gym au wanaohitaji kuongeza mwili. Manufaa: Husaidia kuongeza uzito wa mwili kwa haraka Ina protini nyingi zinazosaidia kujenga na kujaza misuli Huongeza nishati ya mwili iliyopotea wakati wa mazoezi Husaidia kupona kwa misuli baada ya mazoezi Inafaa kwa wana mazoezi na watu wenye mwili mwembamba Jinsi ya Kutumia: Changanya vijiko vinne (40g) vya Weight Gainer kwenye nusu lita ya maji** au maziwa Unaweza pia kuongeza kwenye shakes au smoothies Tumia mara 1–2 kwa siku Muda Bora wa Kutumia: Baada ya mazoezi (inapendekezwa zaidi) Kabla ya mazoezi Kabla ya kulala
Wins Town Weight Gainer Powder - 450g
TSh 65,000
92 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif