Slim fit juice
Hii unakunywa usiku baada ya kumaliza milo yako yote au kabla tu ya kulala ni tamu
Iko na flavor ya kiwi, pineapple na lemon
inakata appetite ya kula
inasaidia kupunguza mwili
ni antioxidant
inaboost metabolism
inaondoa kuvimbiwa
inang’arisha ngozi
ni tamu
Jinsi ya kutumia
Unatumia sachet moja kwa siku baada ya mli wa usiku au kabla tu ya kulala unaweza kunywa. Na maji ya moto au ya baridi
Mama anayenyonyesha anaweza tumia ila angalizo kuwe na chakula mbadala cha kumtosha mtoto, asitumie ambaye mtoto anategemea kunyonya kwa mama tu kupata chakula chake mana inakata hamu ya kula kwa mama
Zipo saches 10