*VITAMIN C CHEWABLE TABLETS.*
Hii ni bidhaa mpya kabsa yenye radha ya chungwa na ni nzuri sana na mahususi kwa watoto, wajawazito, wamama wanaonyonyesha na watu wazima.
Ina vidonge 120 na 100mg, unaweza kutumia pamoja na chakula au bila chakula.
Idadi ya vidonge kwa siku;
Miaka 4-13 atumie 1.
Miaka 14-17 na mjawazito atumie 1-2.
Anayenyonyesha atumie 1-3.
Mtu mzima atumie 1-5.
Ni bidhaa nzuri na tamu sana hata mtoto asiyependa kutumia vidonge ataipenda sana.
*FAIDA ZA VITAMIN C SUPPLEMENT
Inazuia na kutibu anemia.
Inazuia kukakama kwa cell za ateri.
Inasaidia kuponesha vidonda haraka.
Inazalisha collagen za kutosha ambazo ni proteins zinazoimalisha ngozi, mishipa ya damu na damu yenyewe, mifupa na cartilage.
Inasaidia uchukuliwaji wa madini chuma mwilini(Iron absorption