Sukari inasababishwa na Insulin kufeli kupunguza kiwango cha sukari kwenye Ini ambapo hii usababisha Sukari kuingia kwenye damu kwa wingi kwa mfumo wa glucose na glycogen Madhara Ya Kisukari *Kupungua kwa Nguvu za kiume *Magonjwa ya Ini *Kupungua kwa kinga ya mwili *Mwili Kushambuliwa na maradhi mengine ikiwemo pressure n.k *Homa za mara kwa mara