tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Vitamins & Supplements
  4. Menopause Supplements
  5. Soy Vitamins & Supplements
Dar es Salaam, Ilala, 22 hours ago
2 views

Soy Isoflavones

+1
Deal Supplement
Brand
Fertility Support
Type
Capsule
Formulation
Female
Gender
All
Age Group
Unflavored
Flavor
All Natural
Features
After Meal
When to Take
Jar
Package
Delivery
Across country
1 day
TSh 5,000 - 10,000
Soy Isoflavones ni virutubisho vya asili vinavyotokana na soya, vinavyosaidia kusawazisha homoni za mwanamke na kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla. Kazi Kuu za Soy Isoflavones 1. Husaidia kusawazisha homoni za mwanamke 2. Hupunguza dalili za kukoma hedhi (menopause) kama joto jingi mwilini, jasho usiku na mabadiliko ya hisia 3. Huchangia afya ya mfumo wa uzazi 4. Husaidia wanawake wenye mpango wa 5. kushika ujauzito kwa kuimarisha mazingira ya homoni 6. Husaidia afya ya mifupa na kupunguza hatari ya mifupa kudhoofika 7. Huchangia afya ya ngozi na moyo Inawafaa Watu Gani? 1. Wanawake waliopo au wanaokaribia kipindi cha kukoma hedhi 2. Wanawake wenye changamoto za homoni (hedhi isiyo na mpangilio, maumivu, hisia kubadilika) 3. Wanawake wenye mpango wa kushika ujauzito 4. Wanawake wanaotaka msaada wa asili wa homoni
Show contact
TSh 40,000
Negotiable
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif