HII NDIYO SABABU INAYOKUFANYA UNENEPA
Sasa Baada ya Mwili Kutengeneza Mafuta Mwilini,Wengi Wetu ndipo Tunashtuka na kusema "Nimenenepa Ngoja nianze Diet au Niende Gym"
Yes Gym inasaidia sana kupunguza Calories lakini Kumbuka Ukiburn Calories utakua Unaondoa tu Mafuta lakini haundoi Chanzo cha Kuleta yale Mafuta kwa Kasi(ambayo ni Sumu/Takamwili/Toxins).
Sasa ikitokea tu umeacha mazoezi basi mwili unatambua kwamba hakuna tena kuweza kujifadhi sumu so inarudia ile kazi ya kukusanya mafuta upya tena,tena sasahivi itakua kwa kasi sana na ndo maana utaskia watu wengi wanasena "Mimi nilienda Gym miezi miwili nikapungua 2kg lakini nilipoacha nikarudia kwenye Unene"