FIELDS OF GREENS Mara nyingi milo yetu huwa na mbogamboga za majani kiasi kidogo sana, na wakati mwingine zinakuwa zimepikwa kwa mda mrefu na kupunguza au kumaliza viini lishe/virutubisho. FIELDS OF GREENS Inatokana na majani ya shairi na ngano changa, alfalfa na cayenne.Pia kuna Betacarote,enzymes, amino acid,vitamins na chlorophyll. Hizi zote zinasaidia mwili usipate athari za mionzi ya jua na seli za kansa na kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu. FAIDA ZA FIELDS OF GREENS 1. Ni mbadala wa mboga za majani ambazo zinaongeza Damu katika mwili. 2. Kuondoa athali za mionzi ya jua. 3. Kuboresha mzunguko wa damu. 4. Kuthibiti kiwango cha sukari mwilini. 5. Husaidia kutuliza morning sickness kwa wajawazito. 6. Husaidia mmeng'enyo wa chakula na wenye matatizo ya kupata choo kigumu. 7. Inasaidia uponyaji wa vidonda mwilini.