Habari, iboreshe afya yako na aloe berry nectar, juice hii imetengenezwa na matunda mengi ya berrie ikichanganywa na juice ya ini la aloe vera kuifanya kuwa na nguvu ya kutakatisha na kusafisha 1. Inakupa support ya kuondoa magonjwa ya kibofu hususan UTI 2. Inaondoa sumu kwenye ini, figo na kwenye mapafu, ni nzuri sana kwa watumiaji wa pombe kulinda maini yako. 3. Inasafisha tumbo na kuboresha mmeng'enyo wa chakula. 4. Support kwa uotaji nywele na kuwa na ngozi nzuri. 5. Nzuri kwa wanawake kuondoa matatizo yatokanayo kupindi cha hedhi. 6. Huongeza support kwenye system ya upumuaji. 7. Ni suluhisho la matatizo ya pcos( hormone kuvurugika) 8. Inakupa support kwenye system ya upumuaji(respiratory system)