ALOE BERRY NECTAR Hii ni bidhaa ya Aloe vera yenye ladha Nzuri sana ya matunda. Ina pure Aloe vera ambayo imeongezewa Cranberries na Apples kuiongezea faida nyingi mwilini mwako. BAADHI YA FAIDA ZAKE •Nzuri sana kwenye kusafisha Ngozi from inside out na kuipa mng'ao. •Ina Vitamin C kwa wingi na hivyo ni very strong antioxidant (kuondoa takamwli na free radicals) •Inasaidia kuboresha afya ya Figo kutokana na kuwa na Cranberries. •Inasafisha mfumo wa uzazi kwa wanawake na wanaume pia, inafaa hata kwa aliyetoka kujifungua. •Inasaidia kuregulate uric acid mwilini, inafaa wanaokula nyama mara kwa mara. •Inasaidia sana kwenye maumivu ya hedhi. •Inasaidia sana kwa afya ya mfumo wa mkojo na kuondokana maambukizi ya mara kwa mara. •Inaboresha afya ya mmeng'enyo wa chakula. •Watoto pia inawafaa maana ladha yake ni nzuri