FAIDA ZA KUTUMIA CALCIUM & VITAMIN D3 MILK TABLET STRAWBERRY FLAVOUR.
Kuimalisha na kuboresha mifupa.
Husaidia ukuaji wa mtoto na ni nzuri Sana kwa watoto wenye udumavu.
Inazuia na kuondoa matege kwa watoto.
Inaimalisha madini ya calcium na kuweka msawazo wa phosphorus mwilini.
Inaimalisha meno na kuyalinda yasiharibike.
Inaongeza uwezo na ufanisi wa akili kufanya kazi. Kwahiyo ni nzuri sana kwa watoto wanaosoma.
Inaongeza hamu ya chakula, kwahiyo ni nzuri sana kwa watoto wanaosumbua kula
Inaondoa maumivu ya mifupa, maungio na mwili mzima kwa ujumla.
Inaondoa hali ya kuumwa umwa mara kwa mara,
Hii ni bidhaa ambayo hata kama mtoto wako shida yoyote ile anapaswa kuitumia ili kumsaidia ukuaji wake na maendeleo ya masomo yake darasani kwa kuwa inafanya vizuri sana kwenye suala la kuimalisha akili.