Aloe vera gel ni product chini ya forever living, kazi yake kuu 1. huondoa sumu na gesi mwilini. 2. huondoa taka mwili hivyo huboresha mmeng'enyo wa chakula. 3. hupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo, hivyo huondoa kichomi na kiungulia. 4. Inarutubisha ngozi yako kwa vitamin c na D kwa wingi hivyo hung'arisha ngozi. 5. inabalance acid mwilini kwa kuongeza base na kufanya mwili kuwa alkaline.