tre.gif
Sell faster
Buy smarter
 1. All ads
 2. Commercial Equipment & Tools
 3. Store Equipment
 4. Commercial Scales
 5. Digital Commercial Scales
Dar es Salaam, Ilala
4 views

Tanita Scale.

+1
Platform Scale
Scale Type
Other
Scale Interface
Battery
Power Source
Brand New
Condition
*TANITA scale(Digital Scale)* zinauzwa(inapima kuanzia 0.1g-120g). Ni mzani wenye uimara na ufanisi mkubwa. 1. *Wachimbaji, wauzaji na wanunuaji* madini huu mzani utawasaidia kutambua uzito wa madini yanauzwa/kununuliwa kabla ya kutoa/kupokea fedha. *2.Watu wa maabara* (Pharmaceutical, industries) mzani huu utakusaidia kupima kiasi cha kemikali mbalimbali zinazohitajika katika bidhaa au dawa unayotaka kutengeneza. 3. *Posta* , huu mzani utasaidia kupima vitu kama bahasha/parcels zinazotumwa/kupokelewa kwa njia ya posta. *4.Watu wa lishe(dieticians)* mzani huu unasaidia katika upimaji wa viinilishe mbalimbali na kufanya chakula/bidhaa itakayo andaliwa iwe na virutubisho vinavyotakiwa na kwa kiwango sahihi kwa mahitaji ya mwili. • *Sonara* katika kupimia madini na Vito mbalimbali. Malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.
Tanita Scale.
TSh 130,000
1 Feedback view all
Report Abuse
Safety tips
 • Avoid paying in advance, even for delivery
 • Meet with the seller at a safe public place
 • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
 • Make sure that the packed item is the one you've inspected
 • Only pay if you're satisfied
 1. Digital Store Equipment