Commercial Water Vending Machine Single Door Kwa Maji Ya Biashara
+1
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 1 hour ago
18 views
Commercial Water Vending Machine Single Door Kwa Maji Ya Biashara
Brand New
Condition
Commercial Water Vending Machine Single Door Mashine Ya Maji ya Biashara
Zina toa Maji ya kawaida na ya Baridi
Ina zalisha Lita 2000 kwa Siku
Kuuza laki 1 kwa siku kawaida
Waranty Mwaka Mmoja
Mashine ina dumu zaidi ya Miaka 10