Size yake ni height 189cm width 31cm and length 120cm, imetengenezwa Kwa matumizi ya viatu, Maua, mikoba na vile uonavyo wew, tumeweka milango kuepuz vumbi na mengine mengi yahusuyo viatu, ni Kwa oder ya masaa 48 tu. Karibu cm moja2 inafaa kupata mzigo